Tazama Hii Kama Una Ndoto Ya Kusoma Marekani | University Of California, Los Angeles Tour
Hii ni Tour ndani ya chuo kikuu cha California, Los Angeles (UCLA). University Of California, Los Angeles ni moja kati ya vyuo vyenye hadhi huku California. Kama una ndoto ya kusoma Marekani, bhasi hii video itakufaa zaidi. Tazama hii video…
Hii ni Tour ndani ya chuo kikuu cha California, Los Angeles (UCLA). University Of California, Los Angeles ni moja kati ya vyuo vyenye hadhi huku California. Kama una ndoto ya kusoma Marekani, bhasi hii video itakufaa zaidi. Tazama hii video ili ujionee mazingira ya chuo kikuu nk.
Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!
My previous video;
https://youtu.be/heNiOz5PKpE
🔸FOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: https://www.friend.bid/jacchalz
TikTok: https://www.tiktok.com/@jackchalz?_t=8aAkPhjhOMV&_r=1
My Other Channel: https://www.youtube.com/channel/UCWqIfo8-Ztk-9LY0z9n-F5w
#jackwausa #ucla #americanuniversity